Kuhama chuo na faculty 2013/14

Kuhama chuo na faculty 2013/14

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
mimi nipo jkt,ya tcu yakanikuta natakiwa kuomba chuo kwa mara nyingine bt huku 2metingwa na kaz nyng ikanibd m2 aniombee stefano moshi universty It lakn m ckupenDa kuxoma IT,Hvyo nimeomba kuhamia sua lakn tcu hawajnijbu toka ijumaa jion,je watanihamisha au!,..nataka nihamie vetenary medcne au agricult-injinia ip n nzur kat ya hiz naomba ushaur.
 
watakupa majibu baada ya deadline,ambayo ni tarehe 16/9/2013
 
Wewe ungepaswa kuanza kutueleza ungependa fani gani kuisomea. Kwa maana kati ya hizo taaluma za SUA zote ni nzuri na mahitaji yake ni makubwa sana, hapa nchi na kwenye nchi za jirani.

Kuhusu kuhama chuo (facult sio sawa na course, facult ni sawa na college, usiitumie kimakosa); chuo unaweza kuhama kwa kufuata taratibu za TCU, lakini kwa uchache wa nafasi zilizopo SUA (ina tegemea kama course hizo kama bado zinahitaji watu au dirisha limefungwa) sidhani kama TCU watakupeleka, kama utaweza nenda direct ukafanye maombi (sidhani kama wamefunga admission), ila ujue, ukienda Direct mkopo hupati. Kwa hiyo pima hapo.
 
nimeomba koz ya human and consumer then nikifka nitabadl,7bu ndio koz yenye slots pekee
 
wadau naomba anayejua jinsi ya kuhama chuo ulichopangiwa
thnx in advance
 
Back
Top Bottom