Kuhama chuo na kubadilisha kozi

Kuhama chuo na kubadilisha kozi

Side coca

New Member
Joined
Sep 18, 2019
Posts
4
Reaction score
3
Je, inawezekana kwa mwanafunzi anayeinga mwaka wa pili kozi ya diploma ktk afya kupostpone(due to fee issues) na kusoma kozi nyingine ktk chuo kingine?
 
Hapana HAIWEZEKANI.

heri uanze upya hio kozi tofauti katika chuo tofauti.

kinachowezekana ni kuhsmia chuo kingine katika kozi inayofanana na unayosomea.
 
Jamani wadau msaada mm nilifanya mtihni wa kujiunga na veta mwaka Jana yani 2020 nikachaguliwa kozi ya LABORATORY ASSISTANT hivyo naombeni maelezo kiupana ili niijue vzr yahusu nn na ajira yake inakuwaje upatikanaji wake.asanteni
 
Back
Top Bottom