Je, inawezekana kwa mwanafunzi anayeinga mwaka wa pili kozi ya diploma ktk afya kupostpone(due to fee issues) na kusoma kozi nyingine ktk chuo kingine?
Jamani wadau msaada mm nilifanya mtihni wa kujiunga na veta mwaka Jana yani 2020 nikachaguliwa kozi ya LABORATORY ASSISTANT hivyo naombeni maelezo kiupana ili niijue vzr yahusu nn na ajira yake inakuwaje upatikanaji wake.asanteni