Kuhama Chuo TCU

Kuhama Chuo TCU

Mi ni mhandisi..nakushauri usome hiyo hiyo..iko powa aseeeeh.
 
Mbona hiyo coz ni kama sehemu ya civil tu...piga hiyo kaka wengi walinishauri na mm nikapige hiyo..hayo mambo ya udsm yasahau tu may be competition (darwins theory at work)
 
salam zenu wakuu mimi nimemaliza form six 2014 post zimetoka nimejikuta sua lilikua ni chaguo langu la mwisho ila nilipangwa na chaguo langu la kwanza kuachwa nilipenda kusoma civil...ivyo naomba msaada kama kunaanae jua maujanja ya kuhamia chuo kama udsm
watu wengine bna sasa UD hawajakuchagua bado unataka kuforce force tu...sifa zingine bna za kijinga halafu hazina manufaa yoyote...embu nenda Mazimbu kapige shule eboooooo
 
Back
Top Bottom