gagarichaa
Member
- Sep 22, 2014
- 38
- 2
Kijana hio course uliopangwa sua ni nzuri kuliko hata civil engineering,ulizia vizur lakin nakwambia kitu cha uhakika
vipi kuhusu mkopo mkuu ulifanikiwa kuhama nao?
Kwa uandishi huo, heri ubaki huko huko, UDSM utadisco![h=2]Kuhamia udsm civil ingeneering[/h]
watu wengine bna sasa UD hawajakuchagua bado unataka kuforce force tu...sifa zingine bna za kijinga halafu hazina manufaa yoyote...embu nenda Mazimbu kapige shule eboooooosalam zenu wakuu mimi nimemaliza form six 2014 post zimetoka nimejikuta sua lilikua ni chaguo langu la mwisho ila nilipangwa na chaguo langu la kwanza kuachwa nilipenda kusoma civil...ivyo naomba msaada kama kunaanae jua maujanja ya kuhamia chuo kama udsm