Kuhama chuo

Kuhama chuo

BURTON JNR

Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
60
Reaction score
15
Naomba msaada utaratibu upi nifanye ili kuhama chuo mwezi wa kumi ? Kwa anaejua tafadhari .
Najifadhili mwenyewe sasa naona ada ni ndefu nataka chuo chenye ada ya wastani .
 
pole sana ila tueleze vizuri chuo gani Upo na kozi unayosomea pia Upo stashahada au shahada,sawa kijana.
 
Back
Top Bottom