Check again TANAPA, wana programmers wameajiri miaka miwili iliyopita , lakin wanafanya kwa mifumo yao ya ndani. Si kila kitu ni cha egaWakuu mimi niko Mamlaka ya maji nawafikiria sana TRA, TBS, eGA, TCRA na TANAPA ni ICT afisa, nataka nipambanie uhamisho kwenye hizi taasisi ni ICT afficer II-SOFTWARE DEVELOPER(WEB) hii taasisi haifanyi software development kabsa zote zinafanywa na eGA, naomba msaada wa kiufundi watalam ili nifanikishe kirahisi

Nashukru mkuu, mi niliko nalipwa sh. 1.9 hamna safari na hamna posho, hiyo ni gross kabla ya mapatoCheck again TANAPA, wana programmers wameajiri miaka miwili iliyopita , lakin wanafanya kwa mifumo yao ya ndani. Si kila kitu ni cha ega
Vip masilahi ya TANAPA pakoje mkuuCheck again TANAPA, wana programmers wameajiri miaka miwili iliyopita , lakin wanafanya kwa mifumo yao ya ndani. Si kila kitu ni cha ega
Depends na level, si habaVip masilahi ya TANAPA pakoje mkuu
Dah mwanangu wewe si tajiri Kabisa.Nashukru mkuu, mi niliko nalipwa sh. 1.9 hamna safari na hamna posho, hiyo ni gross kabla ya mapato
kwa level kama yangu ICT afisa II?Depends na level, si haba
Pambana uingie EGANashukru mkuu, mi niliko nalipwa sh. 1.9 hamna safari na hamna posho, hiyo ni gross kabla ya mapato