Kuhama kituo Cha kazi

Sumu ya nyigu

Member
Joined
May 18, 2019
Posts
60
Reaction score
111
Naomba msaada wa maelekezo jinsi ya kuanzisha mchakato wa kuhama kituo Cha kazi na changamoto zake kwenye mchakato.

Ahsante
 
Serikalini au?

Serikalini wana mfumo wa kuhama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…