Kuhama kutoka udaktari kwenda Engineering

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,977
Reaction score
2,200
Habari wanajamvi, mimi ni mwanafunzi wa diploma ya clinical officer mwaka wa tatu naingia.

Inshort niliingia huku bila mwenyewe kupenda, nilikua nauliza kama nikipata diploma yangu je ninaweza nikaanza kusoma degree ya computer engineering ?
 
Habari wanajamvi,mimi ni mwanafunzi wa diploma ya clinical officer mwaka wa tatu naingia..inshort niliingia huku bila mwenyewe kupenda..nilikua nauliza kama nikipata diploma yangu je ninaweza nikaanza kusoma degree ya computer engineering?

Hiyo inawezekana kama unakidhi points qualification. Lakini kama unataka kutumia diploma in clinical officer kuomba computer engineering itakuwa ngumu sana!
 
Kwa UDSM hautapata nafasi ila kwa St.Joseph watakuchukua fasta hata kama kwenye dip una GPA 2.0
 
Kwa UDSM hautapata nafasi ila kwa St.Joseph watakuchukua fasta hata kama kwenye dip una GPA 2.0

Hehehe St joseph wanabeba tu..but naskia ni chuo kizuri
 
Hiyo inawezekana kama unakidhi points qualification. Lakini kama unataka kutumia diploma in clinical officer kuomba computer engineering itakuwa ngumu sana!

Kwaiyo conclusion ni kua siwezi ni apply degree ya computer kwa diploma ya udaktari?
 
umeconfuse level ya diploma kweli ww n mfinyu wa fikra!!!!na sidhani kama hata hiyo diploma kama utapass
 
Habari wanajamvi, mimi ni mwanafunzi wa diploma ya clinical officer mwaka wa tatu naingia.

Inshort niliingia huku bila mwenyewe kupenda, nilikua nauliza kama nikipata diploma yangu je ninaweza nikaanza kusoma degree ya computer engineering ?

Soma hiyo dip yako ikishamaliza knenda tena kapige tena hiyo C.E uwe multpapas kaa mende ila usitumie dip yko kuaply C.E utalamba joker!!!
 
umeconfuse level ya diploma kweli ww n mfinyu wa fikra!!!!na sidhani kama hata hiyo diploma kama utapass

To bad bro yaani unatamani mtu afeli kisa kauliza tu,unaonekana unaishi maisha mabovu sana mpaka unakuja kwenye mitandao kutoa hasira zako kwa kupandikiza unegativity wako..dah poor people bana
 
Mpaka muda huu hujajua nini malengo yako kwa baadae

Bro nishajua malengo yangu ila nilifeli form 6 af mshua angu akafosi n8some lichuo lao la jeshi la udaktari ili aniingize jeshini..sasa mi nimeingia tu..ila sitaki ujeshi wa udaktari wao..af chuo hiki sina raha coz mshua ni mkubwa kwaiyo all the ----in eyes on me
 
Mkuu,mbona unasomea kozi nzuri sana tu,mi ningelipenda wanangu wasome hizi vitu aisee kwani hata future yake kiajira ni promising ingawaje sitawalazimisha,na hata mishahara yake pia serikalini sio mibaya ukifananisha na hyo kozi unayoupenda wewe,ila sawa tu,maamuzi ni yako,ila kaa ukijua kuwa wazazi wako walikuchagulia jambo jema,na uliwahi kuwauliza kwa nn wamependelea wewe usome hyo kozi unayodai hauipendi?
 
endelea uko uko engineer atakua mwanao
 
Yeah ni nzuri ila haipo in my heart,ukifananisha na engineer..yaani bro hapa sijaanza kusoma eng ila mpaka now nishajua kucode kidogo and other computer stuffs..na sina mpango wa kuajiriwa for sure na wazazi wangu anataka nisome udaktari ili aniingize jeshini alafu pia bro wangu ni computer engineer kwaiyo anataka mm niwe docta..hataki ma engineer wawili..when i look at my parents i can see how am going to disappoint them nikimaliza diploma ya C.O
 
Da Mwanangu Unaogopa Maisha Ya Kijeda Nn? Any Way Iyo Koz Y Co N Nzur Mbna Abda Uitak Coz Of Ujeda Any Waya Mwenyw Nmemalza Adv Pcb But Nataka Kudiverg Chuo Den Npge Co Ofcoz Naipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…