Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wanajamvi,mimi ni mwanafunzi wa diploma ya clinical officer mwaka wa tatu naingia..inshort niliingia huku bila mwenyewe kupenda..nilikua nauliza kama nikipata diploma yangu je ninaweza nikaanza kusoma degree ya computer engineering?
Habari wanajamvi,mimi ni mwanafunzi wa diploma ya clinical officer mwaka wa tatu naingia..inshort niliingia huku bila mwenyewe kupenda..nilikua nauliza kama nikipata diploma yangu je ninaweza nikaanza kusoma degree ya computer engineering?
Hiyo inawezekana kama unakidhi points qualification. Lakini kama unataka kutumia diploma in clinical officer kuomba computer engineering itakuwa ngumu sana!
Kwaiyo conclusion ni kua siwezi ni apply degree ya computer kwa diploma ya udaktari?
Habari wanajamvi, mimi ni mwanafunzi wa diploma ya clinical officer mwaka wa tatu naingia.
Inshort niliingia huku bila mwenyewe kupenda, nilikua nauliza kama nikipata diploma yangu je ninaweza nikaanza kusoma degree ya computer engineering ?
umeconfuse level ya diploma kweli ww n mfinyu wa fikra!!!!na sidhani kama hata hiyo diploma kama utapass
Mpaka muda huu hujajua nini malengo yako kwa baadae
Bro nishajua malengo yangu ila nilifeli form 6 af mshua angu akafosi n8some lichuo lao la jeshi la udaktari ili aniingize jeshini..sasa mi nimeingia tu..ila sitaki ujeshi wa udaktari wao..af chuo hiki sina raha coz mshua ni mkubwa kwaiyo all the ----in eyes on me
Mkuu,mbona unasomea kozi nzuri sana tu,mi ningelipenda wanangu wasome hizi vitu aisee kwani hata future yake kiajira ni promising ingawaje sitawalazimisha,na hata mishahara yake pia serikalini sio mibaya ukifananisha na hyo kozi unayoupenda wewe,ila sawa tu,maamuzi ni yako,ila kaa ukijua kuwa wazazi wako walikuchagulia jambo jema,na uliwahi kuwauliza kwa nn wamependelea wewe usome hyo kozi unayodai hauipendi?