Kuhama kutoka udaktari kwenda Engineering

Kuhama kutoka udaktari kwenda Engineering

Yeah ni nzuri ila haipo in my heart,ukifananisha na engineer..yaani bro hapa sijaanza kusoma eng ila mpaka now nishajua kucode kidogo and other computer stuffs..na sina mpango wa kuajiriwa for sure na wazazi wangu anataka nisome udaktari ili aniingize jeshini alafu pia bro wangu ni computer engineer kwaiyo anataka mm niwe docta..hataki ma engineer wawili..when i look at my parents i can see how am going to disappoint them nikimaliza diploma ya C.O
Yani watu wankimbilia jeshini wewe unaogopa jeshini...MA MD kibao wana apply jeshi wewe unakimbia...?

Dingi ako ni mjanja sana..
 
Njia anayokuchagulia babako ndo njema kabisa, ila kusoma udktari ni kitu kimoja na kuwa daktari mzuri ni kitu kingine. Huwezi kuwa daktari mzuri ni mpaka umeamua mwenyewe. Maliza udaktari ingia jeshini, nenda monduli kapate nyota mbili, wala hutajutia kamwe KUWA AFSA WA JESHI. Hiyo engeneering utasoma baada ya kuwa AFSA WA JESHI. Utaomba ruhusa utakwenda kusoma. Ila we zingatia ushauri wa baba yako. Amini usiamini miaka 5 ijayo utakuja kumshukuru baba yako. TAF ZINGATIA
 
Da Mwanangu Unaogopa Maisha Ya Kijeda Nn? Any Way Iyo Koz Y Co N Nzur Mbna Abda Uitak Coz Of Ujeda Any Waya Mwenyw Nmemalza Adv Pcb But Nataka Kudiverg Chuo Den Npge Co Ofcoz Naipenda

inavyoelekea fm 6 unearbu
 
Back
Top Bottom