ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,154
- 4,184
Wadau,
Ninafikiria sana swala la kuhama Tanzania na kwenda kuishi nchi nyingine mimi pamoja na watoto wangu.Nimefikiria sana nchi za kwenda na moja nilifikiri nchi za scandinavia,Canada,au USA naomba kwa wenye uzoefu hasa kwa USA na CANADA wanisaidie:
Asante

- Hali ya maisha huko ikoje hasa kwa mtu mwenye familia nikimaanisha,gharama za nyumba ya kupanga,na gharama nyingine
- Pili ningependa kufahamu juu ya kazi au shughuli ninazoweza kufanya na malipo yake yaani mshahara
- Tatu ningependa kufahamu pia hatua na taratibu za kufuata iwapo mtu anataka kuhamia huko.
Asante