KUHAMA NCHI

KUHAMA NCHI

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Wadau,
Ninafikiria sana swala la kuhama Tanzania na kwenda kuishi nchi nyingine mimi pamoja na watoto wangu.Nimefikiria sana nchi za kwenda na moja nilifikiri nchi za scandinavia,Canada,au USA naomba kwa wenye uzoefu hasa kwa USA na CANADA wanisaidie:
  • Hali ya maisha huko ikoje hasa kwa mtu mwenye familia nikimaanisha,gharama za nyumba ya kupanga,na gharama nyingine
  • Pili ningependa kufahamu juu ya kazi au shughuli ninazoweza kufanya na malipo yake yaani mshahara
  • Tatu ningependa kufahamu pia hatua na taratibu za kufuata iwapo mtu anataka kuhamia huko.
Nimetenga bajeti ya kama TZS 50 milioni na hii ni kwa kuuza baadhi ya assets zangu nyingine nitaziacha huku kwa ajili ya matumizi ya mbeleni.Lengo langu sio kubadili uraia bali ni kuwa na makazi ya kudumu yaani permanent resident.

Asante
 
Wataalam wa mambo ya nje njooni tupate msaada wenu.
 
Futa mawazo hayo mkuu, nenda hata kijijini ukalime kuliko uwazavyo
 
Nakuomba usihame maisha uko sio rahis kama unavyodhani. Kwanza naenda mwenyewe utengeneze maisha baadae ufate familiya.

Kuna KTU alifanya kama wewe yalimshinda familiya wakarudi, baadae ya miaka 8 mambo yakakaa sawa.

Unless kama ulishawahi kuishi uko may be uliendaga kusoma ukarudi , you can try, ila kama ndo kwenda kwa Mara ya kwanza, funga break kwanza.
 
Back
Top Bottom