Kuhamisha file la YoWhatsApp kwenda simu nyingine

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
453
Reaction score
175
Habari wakuu,
Nimekuwa nikitumia YoWhatsApp kwa simu A na sasa nimepata simu mpya B.

Nataka chat zangu zote zihamie simu B pindi nikiweka YoWhatsApp katika simu B.

Nimepitia maelezo mitandaoni kila nikijaribu sifanikiwi. Naomba mwenye uelewa anisaidie kwa lugha rahisi na ya kueleweka hatua Moja mpaka mwisho.
 
Hamisha kwa njia ya e-mail,Simu itaomba e-mail unaweka na Password pia,itacopy kila kitu,

E-mail uliyokua unaitumia kwenye simu A ndio uitumie hiyo hiyo e-mail kwenye simu B
 
Kwanza asante kwa maelekezo yako.
Njia hii naona kama ni ya chat moja moja na si YoWhatsApp yote.

Hainipi hiyo option labda karma kuna maelekezo ya ziada kufikia usahihi wa maelekezo yako
 
1.Tumia Email ku BACKUP messages zako then hamishia email yako kwenye simu mpya then fungua watsapp yako na jaza taarifa then rudisha meseji zako

2.Nenda SETTING ya watsapp Gusa CHAT- BACKUP (local backup) then acha ifikie asilimia mia , funga watsapp yako nenda FILE MANAGER tafuta file la YOWATSAPP utakuta file jina la DATABASE (Databasemsgstore), angalia huo mpangilio wa mafaili(Folder)ulivyo then nenda kwenye simu yako mpya tengeneza faili(folder) la YOWATSAPP kwa kuigilizia kutoka kwenye simu ya zamani , sasa hamisha file la 'Databasemsgstore.adb ' kwa mpangilio sawia (unaweza pia kuhamisha mafaili ya picha na vidio ) vaada ya hapo fungua watsapp yako kwenye simu mpya jaza taarifa zako na utaona Whatsapp inakuletea neno 'Restore massages' then utakuwa unemaloza kila kitu
NB: hakikisha watsapp unayotumia inafanana na faili ndani ya simu , kama ni FMWatsapp basi faili lisome hivyohivyo

Hope nimekusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu singanojr
File ntakalo copy kuweka katika simu mpya naliweka wapi?

Na je naanza kuweka file hili kabla ya kuinstall
YoWhatsApp au baada?
 
Angalia namna folder za simu yako ya zamani zm yalivyojipanga ndani ya faili la YOWhatsapp then kwa staili hio hio hamishia kwenye simu mpya faili muhimu ni la Database kuwa mtundu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatoka sim/android version ipi kwenda sim ipi/android version ipi ?
 
mafaili mawili muhimu ni hayo
IMG-20230120-WA0000.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado sijafanikiwa ndugu zangu
CHIEF MKWAWA pita usaidie ndugu
1- Open WhatsApp from your old phone, then go to Fouad FMMODS Settings » All » Backup and Restore » Data Backup

2- Now you go to the files, you will find the backup file in this path:
/Documents/FMBackups/Backup file.zip
The file name will be the same as the package name

3- You move to your new phone and send the backup file to the same path:
/Documents/FMBackups/

4- Install WhatsApp Fouad on your new phone
You choose to restore the backup
After this your whatsapp will close open it and verify your number

And congratulations on transferring WhatsApp.
 
Procedures ni hizo hizo Kwa package zote
 
Shukrani Ochumeraa nimefanikiwa.
Pia shukran kwa singanojr kkenzki The Icebreaker
 
Habari wakuu,
Nimekuwa nikitumia YoWhatsApp kwa simu A na sasa nimepata simu mpya B.

Nataka chat zangu zote zihamie simu B pindi nikiweka YoWhatsApp katika simu B.

Nimepitia maelezo mitandaoni kila nikijaribu sifanikiwi. Naomba mwenye uelewa anisaidie kwa lugha rahisi na ya kueleweka hatua Moja mpaka mwisho.
Haya madam/sir umepata kishikwambi unataka kufanya mambo ,unatuzunguka eti CM mpya
 
Back
Top Bottom