poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 453
- 175
Asipoelewa hapa bhasi maana ya Back Up atakuwa hajui.Hamisha kwa njia ya e-mail,Simu itaomba e-mail unaweka na Password pia,itacopy kila kitu,
E-mail uliyokua unaitumia kwenye simu A ndio uitumie hiyo hiyo e-mail kwenye simu B
Kwanza asante kwa maelekezo yako.Hamisha kwa njia ya e-mail,Simu itaomba e-mail unaweka na Password pia,itacopy kila kitu,
E-mail uliyokua unaitumia kwenye simu A ndio uitumie hiyo hiyo e-mail kwenye simu B
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asipoelewa hapa bhasi maana ya Back Up atakuwa hajui.
Mkuu singanojr1.Tumia Email ku BACKUP messages zako then hamishia email yako kwenye simu mpya then fungua watsapp yako na jaza taarifa then rudisha meseji zako
2.Nenda SETTING ya watsapp Gusa CHAT- BACKUP (local backup) then acha ifikie asilimia mia , funga watsapp yako nenda FILE MANAGER tafuta file la YOWATSAPP utakuta file jina la DATABASE (Databasemsgstore), angalia huo mpangilio wa mafaili(Folder)ulivyo then nenda kwenye simu yako mpya tengeneza faili(folder) la YOWATSAPP kwa kuigilizia kutoka kwenye simu ya zamani , sasa hamisha file la 'Databasemsgstore.adb ' kwa mpangilio sawia (unaweza pia kuhamisha mafaili ya picha na vidio ) vaada ya hapo fungua watsapp yako kwenye simu mpya jaza taarifa zako na utaona Whatsapp inakuletea neno 'Restore massages' then utakuwa unemaloza kila kitu
NB: hakikisha watsapp unayotumia inafanana na faili ndani ya simu , kama ni FMWatsapp basi faili lisome hivyohivyo
Hope nimekusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia namna folder za simu yako ya zamani zm yalivyojipanga ndani ya faili la YOWhatsapp then kwa staili hio hio hamishia kwenye simu mpya faili muhimu ni la Database kuwa mtundu mkuuMkuu singanojr
File ntakalo copy kuweka katika simu mpya naliweka wapi?
Na je naanza kuweka file hili kabla ya kuinstall
YoWhatsApp au baada?
1- Open WhatsApp from your old phone, then go to Fouad FMMODS Settings » All » Backup and Restore » Data BackupBado sijafanikiwa ndugu zangu
CHIEF MKWAWA pita usaidie ndugu
Procedures ni hizo hizo Kwa package zote1- Open WhatsApp from your old phone, then go to Fouad FMMODS Settings » All » Backup and Restore » Data Backup
2- Now you go to the files, you will find the backup file in this path:
/Documents/FMBackups/Backup file.zip
The file name will be the same as the package name
3- You move to your new phone and send the backup file to the same path:
/Documents/FMBackups/
4- Install WhatsApp Fouad on your new phone
You choose to restore the backup
After this your whatsapp will close open it and verify your number
And congratulations on transferring WhatsApp.
Shukrani Ochumeraa nimefanikiwa.1- Open WhatsApp from your old phone, then go to Fouad FMMODS Settings » All » Backup and Restore » Data Backup
2- Now you go to the files, you will find the backup file in this path:
/Documents/FMBackups/Backup file.zip
The file name will be the same as the package name
3- You move to your new phone and send the backup file to the same path:
/Documents/FMBackups/
4- Install WhatsApp Fouad on your new phone
You choose to restore the backup
After this your whatsapp will close open it and verify your number
And congratulations on transferring WhatsApp.
Ongea na watu vzuri😃
Kweli mkuu, mahusiano jambo zuriOngea na watu vzuri😃
Haya madam/sir umepata kishikwambi unataka kufanya mambo ,unatuzunguka eti CM mpyaHabari wakuu,
Nimekuwa nikitumia YoWhatsApp kwa simu A na sasa nimepata simu mpya B.
Nataka chat zangu zote zihamie simu B pindi nikiweka YoWhatsApp katika simu B.
Nimepitia maelezo mitandaoni kila nikijaribu sifanikiwi. Naomba mwenye uelewa anisaidie kwa lugha rahisi na ya kueleweka hatua Moja mpaka mwisho.
😂😂 kishkwambi!Haya madam/sir umepata kishikwambi unataka kufanya mambo ,unatuzunguka eti CM mpya