Kuhamisha kwa makao mkuu ya tff

malemalisu

New Member
Joined
Mar 11, 2022
Posts
3
Reaction score
2
Nimeona andiko kuhusu kuhamishwa kwa ofisi za tff kupelekwa mikoani tanga, je kutakuwa na tija kweli? ktk kupata huduma, mtu atoke songea aende tanga kweli? Au ndo maandalizi ya kumuweka mtu awe raisi wa maisha wa tff
 
πŸ˜†πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kupanga Ni Kuchagua
 
Chanzo cha taarifa?

Isije kuwa mbege imekuzagamua umeona maluweluwe ukadhani Tangazo.
 
Nimeona andiko kuhusu kuhamishwa kwa ofisi za tff kupelekwa mikoani tanga, je kutakuwa na tija kweli? ktk kupata huduma, mtu atoke songea aende tanga kweli? Au ndo maandalizi ya kumuweka mtu awe raisi wa maisha wa tff

Chanzo?
 
Tanga kila njia panda asubuhi unakuta nazi sasa sijui ndo nini!
 
Huyu Karia bogus tu kabadirisha kanuni ili ajilinde yeye na vibaraka wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…