T Thebony Member Joined Aug 16, 2012 Posts 92 Reaction score 2 Oct 28, 2012 #1 Nifuate taratbu gan kuhamisha loan?
K kiokote3 Member Joined Aug 30, 2011 Posts 20 Reaction score 3 Oct 31, 2012 #2 nenda tcu watakufanyia transf ya chuo then ukishaingia kwenye list watapeleka jina lako heslb ili kuhamisha mkopo wako
nenda tcu watakufanyia transf ya chuo then ukishaingia kwenye list watapeleka jina lako heslb ili kuhamisha mkopo wako
S Safhat JF-Expert Member Joined May 19, 2012 Posts 270 Reaction score 25 Oct 31, 2012 #3 kiokote3 said: nenda tcu watakufanyia transf ya chuo then ukishaingia kwenye list watapeleka jina lako heslb ili kuhamisha mkopo wako Click to expand... exactly ww unajua.na ukifka chuoni mtaarifu wazr wko wa mikopo atakusaidia.
kiokote3 said: nenda tcu watakufanyia transf ya chuo then ukishaingia kwenye list watapeleka jina lako heslb ili kuhamisha mkopo wako Click to expand... exactly ww unajua.na ukifka chuoni mtaarifu wazr wko wa mikopo atakusaidia.