Kuhamisha loan

Kuhamisha loan

nenda tcu watakufanyia transf ya chuo then ukishaingia kwenye list watapeleka jina lako heslb ili kuhamisha mkopo wako
 
exactly ww unajua.na ukifka chuoni mtaarifu wazr wko wa mikopo atakusaidia.
 
Back
Top Bottom