hakuna kujuta, kuna mtu alikuwa na mikopo, FAIDIKA, SACCOS, TUNAKOPESHA,NA NMB jumla mil 10, akaenda CRDB akakopa milion 17, wakamlipia madeni yake yote akabaki na 7mil, ila riba inakuwa ni yakukopa mil 17 nautakuwa na deni moja tu namakato sehemu moja, NB:huyo ni gvt employed