Kuhamisha mkopo toka Taasisi moja kwenda nyingine

Kuhamisha mkopo toka Taasisi moja kwenda nyingine

mt.j

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2014
Posts
284
Reaction score
279
Kuna Taasis Znanunua Maden Ya Mikop Ya Waajira Na Kuyalipia Wao Na Kukuongezea Kias Flan Hili Limekaaje Hamna Dalil Ya Mtu Kujuta Hapa ,wataalamu Wa Hiz Mamb Karib Tujadil,
 
hakuna kujuta, kuna mtu alikuwa na mikopo, FAIDIKA, SACCOS, TUNAKOPESHA,NA NMB jumla mil 10, akaenda CRDB akakopa milion 17, wakamlipia madeni yake yote akabaki na 7mil, ila riba inakuwa ni yakukopa mil 17 nautakuwa na deni moja tu namakato sehemu moja, NB:huyo ni gvt employed
 
ila benk nying kwasasa hazinunui maden sababu ya tofauti ktk riba zao,
 
Back
Top Bottom