Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
- Thread starter
-
- #21
Kwa kuwa una uwezo wa kumiliki gari na kutambia wengine kwa kazi na biashara za haramu ndio unawataka wenzio waondoke kama fisi? Haya hebu tuone..Waondoke, kwanini wanafanya biashara kwenye reserve za barabara?
Kwa hiyo reserve ya barabara ni kwa ajili ya kufanyia biashara wewe mjinga kweli...Hivi kweli unazo akili za kufikiri wewe? Pia hata nikimiliki gari ni langu mwenyewe, nikutambie ili inisaidie nini wewe pimbi. Hivi JF mnaruhusu vipi watu wenye IQ za 15? angalau waruhusiwe wenye IQ zinazoanza 70. Wewe kweli umeonyesha degree yako ya ujinga kuwa ni mkubwa.Kwa kuwa una uwezo wa kumiliki gari na kutambia wengine kwa kazi na biashara za haramu ndio unawataka wenzio waondoke kama fisi? Haya hebu tuone..
mimi nashangaa sana.mitaani fremu hazina wateja lakini watu wanajenga njiani kwani wateja si wanatoka mitaani?.kwa nini wasichukue fremu mitaani halafu sisi wateja tuwafiate?kwani wateja wa kariakoo si wanatoka huku mitaani?29 October 2021
Dar es Salaam , Tanzania
Nafasi za wamachinga Eneo la Karume Ilala Kariakoo vizimba 2,400 zipo wazi Machinga Complex jijini Dar es Salaam
Source : Dar es Salaam RS DIGITAL
Malalamiko haya hapaSijasikia malalamiko ya aina hii popote, ila kama yapo, hao waliovunjiwa nao wanastahili kubeba lawama kwani waliambiwa mapema waondoe biashara zao.
Kwani mlitaka apande nao ndege waende wote ulaya?Malalamiko haya hapa
===
Rais Samia kwenda Ng'ambo huku akiwaacha Wamachinga ni hatari
Kesho ndio tarehe 30 Oct 2021 ambapo Wamachinga hawatakiwi mjini. Kwa maoni yangu swala la Wamachinga ni delicate sana ambalo linaweza ku treger mambo mengi ya hatari kisiasa na kiusalama. Mama angesubiri kwanza aone Wamachinga wanamalizana vipi na viongozi wa miji na mikoa Sent from my...www.jamiiforums.com
Mkuu unaamisha magoli ujue. Umeomba malalamiko umepewa. Sasa unataka kama Mama angepanda nao ndege! Sawa, subiri majibu.Kwani mlitaka apande nao ndege waende wote ulaya?
Ni takribani wiki mbili sasa wafanyabiashara ndogo-ndogo (wajasiriamali au wamachinga) waliagizwa na serikali za mikoa mbalimbali kuhama kutoka katikati ya miji mikubwa na ama kuelekezwa wapi waende au bila kupewa eneo mbadala na rafiki kwa biashara.
Wamachinga walitoa mawazo yao ili kufanikisha utekelezaji na mipango hiyo ya serikali kuwa na mafanikio ni pamoja na haja ya wao kushirikishwa ipasavyo kwa mjibu wa sheria.
Hata hivyo mawazo na mapendekezo yao yalipuuzwa na kuhesabika sio ya msingi na hayana nafasi kukubaliwa kinyume na jinsi serikali ilivyopanga kufanya.
Ikumbukwe kuwa kupanga miji kuwa safi kuweka taratibu za kufanikisha hilo haziwezi kuwa na tija kama tabia za uchafuzi wa mazingira hazijadhibitiwa.
Mji wa Mzizima (Dar es Salaam) ulianzishwa mwaka 1866 na sultani wa Zanzibar
Viongozi wa mikoa ya Dar Es Salaam na Mwanza mmekosea njia ya isiyo ya kistaarabu kuwahamisha wamachinga kwa kuvunja sehemu zao za kazi kisha mali kuporwa na watu mliowatuma kutekeleza uharibifu huo.
Vijana wapoteza mali zao kwa hatua zinazovunja haki za binadamu na hazikubaliki popote. Machozi yao yatawatesa maisha yenu yote
Hamna habari ya kuhamisha goli hapa, hayo malalamiko yao hayana msingi wowote kwani walipewa muda wa kuondoka wakazembea wenyewe, msiturudishe nyuma kwa malalamiko yasiyokuwa na maana.Mkuu unaamisha magoli ujue. Umeomba malalamiko umepewa. Sasa unataka kama Mama angepanda nao ndege! Sawa, subiri majibu.
Safi sana, nafuu wamachinga wameondolewa. Angalau jiji lipo safi kwa sababu wameondolewa. Nimefurahi sana kuwa wamefukuzwa hao wamachinga ni wezi wakubwa.Baada ya kupangwa machinga jiji letu la Dar es Salaam sura yake inayoambatana na miundombuni aliyoanzisha Jakaya Kikwete yazidi kunonga
MUONEKANO MPYA BAADA YA KUPANGWA
Maeneo ya Morocco, Victoria, Kijitonyama, Mwenge ya jijini Dar es Salaam tarehe 29 October 2021
Source : Director ProX