Kuhamisha Wamachinga kwa kuvunja miundombinu yao na kupora mali zao ni uhalifu kwa DSM na Mwanza

rubbish
 
Government is a coercive apparatus ,kama huwezi kutii sheria bila shuruti wa kukubeleza ni Mkeo/ mumeo baada ya kushughulikiwa.

Kwani machinga ni special Sana kwenye hii nchi kwamba wanaweza kujiamulia kufanya lolote walitakalo?
 
Mi naona wamachinga taratiibu wanarudi kwenye maeneo. Kimsingi njaa ikiuma kila mtu hutoka mafichoni. Bora jela kuliko njaa.
Mtu mwenye njaa haogopi chochote hata kifo maana Hana Cha kupoteza,ogopa Sana mtu aliyekata tamaa.
 
Mi naona wamachinga taratiibu wanarudi kwenye maeneo. Kimsingi njaa ikiuma kila mtu hutoka mafichoni. Bora jela kuliko njaa.
Tutarudi tu hata waue. Biashara hizo zimeanza awamu ya kwanza sasa twende wapi. Tunataka pawe na miundo mbinu mizuri kwanza ndiyo tuende huko
 
Banjul, The Gambia

POLICE TO RELEASE SEIZED ‘TUK TUK’ TRICYCLES


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…