Barua ni ya kiingereza na ipo short kihivyo?Ilikua inasema your transfer from Dar to Katavi has been cancelled
Bado nataka kujua hayo makato unayokatwa ni kwa mfumo gani yaani kutoka hazina moja kwa moja au ukishopokea mshahara, nakama ni kwenye salaryslip, yenyewe inasema ni makato ya nini?Ningeweza andika kila kitu