Kuhamishwa kikazi ukiwa masomoni

Kuhamishwa kikazi ukiwa masomoni

mkulangoe

Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
10
Reaction score
0
Nikiwa nasoma chuo bila kujua sababu nilipata barua kuamishwa kikazi kutoka Dar kwenda Mpanda na nililazimishwa niende bila kulipwa. Kweli nilienda kuripoti kwa gharama zangu nikaomba ruhusa siku 7 kurudi Dar kufuatilia malipo.

Nikakubaliwa nikarudi kulalamika kuhamishwa wakati nasoma. Wakati nasubiri majibu nikalipwa pesa za uhamisho na kisha barua ya kufuta uhamisho lakini baadaye nikaanza kukatwa zile pesa.

Je sheria inasemaje juu ya makato hayo wakati nilishakwenda kuripoti?
 
Ilikua inasema your transfer from Dar to Katavi has been cancelled
 
Mwajiri Mpanda aliashaandika barua kuwa umeripoti?
 
Mwajili Mpanda alinisainia barua yangu ya ya siku 7 na kivuli cha hiyo barua yaani kopi yangu ninayo. Nikiwa Dar kabla siku 7 kuisha nimepewa barua ya kubadilisha uhamisho
 
Kama nilivyoelewa mm naona wapo sawaa. Kaza angalia barua ilikuja ameadress wap kituo kipya au cha zaman.na kama ni cha zaman bac walitumia ujanja kama bado hukuwa umeriport na katika malalamiko yako ukuambatanisha nakala yoyote kutoka kwa mwajili mpya kama ulilipoti kazini hivyo kama ulivyofanya mambo kiholewa nao ndivyo walivyofanya kiholela na lazma hzo pesa zirud kama mwajili anaijali kazi yake
 
Ningeweza andika kila kitu
Bado nataka kujua hayo makato unayokatwa ni kwa mfumo gani yaani kutoka hazina moja kwa moja au ukishopokea mshahara, nakama ni kwenye salaryslip, yenyewe inasema ni makato ya nini?
 
Back
Top Bottom