Kuhamishwa kwa baadhi ya makaburi katika barabara ya ufi (Ubungo maziwa – Shekilango)

Kuhamishwa kwa baadhi ya makaburi katika barabara ya ufi (Ubungo maziwa – Shekilango)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Snapinsta.app_468797779_8970634172997432_921998793761717567_n_1080.jpg

Mkandarasi wa Mradi wa Upanuzi wa Barabara ya Ubungo-Kimara na barabara shikizi za Morogoro na Kawawa, Sichuan Road and Bridge Group Corporation Ltd (SRBG), anapenda kuutaarifu Umma kuwa anaendelea na ujenzi wa barabara inayopita katika makaburi yaliyopo mtaa wa ubungo kisiwani. Kufuatia ujenzi huu, kuna baadhi ya makaburi yaliyopo kwenye eneo la ujenzi yanahitajika kuhamishwa ili kupisha ujenzi kwenye barabara hiyo.
 
Back
Top Bottom