Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Hayo siyo maneno ni nukuu kutoka maandiko matakatifu
Muache kuwasema vibaya watumishi wa Mungu
Niombe tupigw hesabu kama ni Hela zinatolewa kama sadaka Kwa Kanuni hiyo hapo juu kuhani atastahili kupata asilimia ngapi ya sadaka
Niwatakie sabato njema
1 Makuhani Walawi, kabila yote ya Lawi, wasiwe na fungu wala urithi pamoja na Israeli; watakula sadaka za Bwana zifanywazo kwa moto, na urithi wake.
2 Wala wasiwe na urithi kati ya ndugu zao; Bwana ndiye urithi wao, kama alivyowaambia.
3 Na hii itakuwa haki ya makuhani kwa watu hao wasongezao sadaka, ikiwa ni ng'ombe au kondoo wampe kuhani mkono, na mashavu mawili, na tumbo.
4 Malimbuko ya nafaka zako, na divai yako, na mafuta yako, na manyoya ya kwanza ya kondoo zako, umpe.
Kumbukumbu la Torati 18:1-4