Kuharibika kwa biashara

Kuharibika kwa biashara

Njia nzuri ni kuchukua vijana kutoka mikoani na kuwapangia chumba..wasikae kwako then kila baada ya muda kunakuwa na semina elekezi juu ya biashara husika..weka mshahara basic na promotion ni vilemtu atafanya mauzo kwa kiasi gani..nililenga kumsaidia mlalamikaji. Na ningemconnect nabaadhi ya watu naowafaham wanaoitumia mbinu hii kama wale whiterose food chain. Ila akienda yeye pekeake hawezi kuskilizwa. Mimi ni moja ya zao la hapo..sema kuna chawa wengi wanaharibu uzi.


Mimi nilikua na kijan mstaarabu sana ...nikamwahidi nitampa 1m..kifupi kaipata nakusepa🤣!ss unawaza je ningempa 150/km wanayolipwa wenginr ingekuwaje!yaan hujui nn anataka!hakuaga kbs .nikaja sikia amefungua sehem anachajisha kanunua solar kwa mtu kumbe ya wizi .kadakwa...amefubaaa! Hawajui nn anataka;tamaa pia na ulimbukeni!..kuna kazi nature zake inabidi utoe watu wa mkoa huo huo..mfano huwez toa mfanyakzi Mwanza akaenda Iringa kuchuma chai!utamtesa maana atachukua muda kucope!dah!
 
Mi kuna mbwa walinifanyia uhuni. Nimepanga lazima wafe
 
Habari za usiku. Wanabiashara na wajasiriamali kwa ujumla, ningependa kuuliza mambo gani yanaweza kuharibu biashara kwa mtu aliye na mtaji wa kuanzia 25 million?
Serikali isiyotabirika ambayo ina kidi za ajabu na sheria zisizo wazi inaweza kuharibu biashara.

Marehemu Reginald Mengi aliandika kuhusu hili, na jinsi alivyoweza kimuliepuka.

Kwa zaidi tafuta kitabu chake.
 
Back
Top Bottom