Kuharibika kwa mfumo wa uajiri kunaoporomosha nchi, CCM inaporomoka nayo

Kuharibika kwa mfumo wa uajiri kunaoporomosha nchi, CCM inaporomoka nayo

jamvimoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
1,064
Reaction score
828
Kuharibika kwa mfumo wa ajira kumeangusha taifa kiuchumi kisiasa na kiutamaduni na CCm inaporomoka na madhira haya.Kwa kawaida state ina nafasi nzuri ya kupick best intellectuals kuliko sekta binafsi, tabia yakuweka vimemo kwenye baadhi ya application au big people kuingilia mchakato wa ajira ili kuwa fouvor baadhi ya candidate kumefanya 70% ya watumishi wa umma kutotosha(refers Mussa Assad),kwenye uchumi wa kisasa government ni regulator wa kila kitu huwezi kuwatoa ambao ni less intelligent.

kuwaregulate magnius, jambo lapili hao wasiotosha ndiyo watendaji wanaowashauri wanasiasa sasa fikiria hiyo fyongo.Nahilo ndiyo linalo tokeaCcm kuna kubebena kwingi competitive personal wanaachwa kwa ajiri mitandao udugu na urafiki na maslai ya wastaafu wanao tumia chama kama sahani yao.Leo hii ccm sio ya kushindwa kujibu hoja kwa chadema na kutumia polisi, mama ndiyo kaingizwa chaka kabisa mwenezi na katibu hawatoshi.
 
Mvua imekolea sasa, panapovuja pameshaonekana very obvious.

Zamani CCM ndio lilikuwa tanuru la kupika viongozi ila nowdays hamna kitu, upishi umehamia upinzani.
 
Back
Top Bottom