Kuharisha kwa mtoto

Kuharisha kwa mtoto

bejamini

Senior Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
121
Reaction score
13
mtoto wangu ana miezi Tisa, ameshaanza kuota meno ya juu,,,,, ya chini yameshaota kama mwezi umepita ila kwa Siku tatu sasa amekua akiharisha na usiku analia lia mno. Je tatizo hili ni la mpito au ni mabadiliko ya kawaida ktk mwili wa mtoto?

nawasilisha
 
Je umeshaanza kumbadilishia mwanao chakula tofauti na kunyonya?

Inawezekana ikawa Winning diarrhoea....
 
Hee,inamaana tangu azaliwe alikua hajala?
kwani yeye ni non living things...!

ameanza kula vyakula nnje ya maziwa ya mama alipofikiaha miezi sita. mbona hii ni kawaida sn mkuu!!
 
Back
Top Bottom