mtoto wangu ana miezi Tisa, ameshaanza kuota meno ya juu,,,,, ya chini yameshaota kama mwezi umepita ila kwa Siku tatu sasa amekua akiharisha na usiku analia lia mno. Je tatizo hili ni la mpito au ni mabadiliko ya kawaida ktk mwili wa mtoto?
nawasilisha
nawasilisha