mtoto wangu ana miezi Tisa, ameshaanza kuota meno ya juu,,,,, ya chini yameshaota kama mwezi umepita ila kwa Siku tatu sasa amekua akiharisha na usiku analia lia mno. Je tatizo hili ni la mpito au ni mabadiliko ya kawaida ktk mwili wa mtoto?
nawasilisha
Je umeshaanza kumbadilishia mwanao chakula tofauti na kunyonya?
Inawezekana ikawa Winning diarrhoea....
ameshaanza kula alipokamilisha miezi sita
mbali na kuharisha ana tatizo gani jingine linalomsumbua..
Hee,inamaana tangu azaliwe alikua hajala?ameshaanza kula alipokamilisha miezi sita
Hee,inamaana tangu azaliwe alikua hajala?
kwani yeye ni non living things...!
hapo sasa nimekuelewa.ameanza kula vyakula nnje ya maziwa ya mama alipofikiaha miezi sita. mbona hii ni kawaida sn mkuu!!
hahahaha na wewe umehangaika kabisa kujibu!!!ameanza kula vyakula nnje ya maziwa ya mama alipofikiaha miezi sita. mbona hii ni kawaida sn mkuu!!
hahahaha na wewe umehangaika kabisa kujibu!!!