Kuhasiwa kunaweza kukupelekea kuwa shoga kuweni makini mnaotuma maombi ya kuhasiwa?

Kuhasiwa kunaweza kukupelekea kuwa shoga kuweni makini mnaotuma maombi ya kuhasiwa?

Rwetembula Hassan Jumah

Senior Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
140
Reaction score
188
Wanyama wanahasiwa Sana...
Hata binadamu pia ila me si shauri kabisa kwa binadamu maana hii hali inaweza ikakupelekea ukatamani uingiliwe maana wewe si unakuwa unataman ila huna uwezo wa kufanya hilo tendo.

Chunguzeni sana mashoga uenda hili Tatizo ndo linawakumba. Natoa taarifa.
 
Nani kahasiwa na nani?

Unataka kusema hao Mashoga asilimia kubwa wamehasiwa?

Babu zetu kipindi cha nyuma walihasiwa sana kabla ya kupelekwa Utumwani. Case za Ushoga mbona zilikuwa hakuna?
 
elewa post. Ushasema babu zetu. Maana ya babu zetu sio ya sasa. Hata zamani babu zetu awakula haya mayai ya kizungu au kuku wanaotengenezwa na mwaga
Jibu swali, nani anawahasi hao vijana? Cases za kuhasiwa mbona hazipo wazi?

Mada yako ni mfu na unashindwa kuitetea.
 
Mnataka tuawatukane nyie waleta hizi MADA kila uchwao...
 
Wew si ndo unaleta mabishano ya kidini kule ,una tatzo kwenye akili
 
¿¿¿¿£§|€..,.....,.«pale unapokosa cha kuchangia ila unataman uchangie£¿
 
Moderator nyuzi za hivi muwe mnafutilia mbali, zamani mlikua na desturi ya kusoma nyuzi kabla ya kuziruhusu, kwa sasa threads za ajabu za ushoga zinaazishwa kila leo.

Basi Moderator muwe mnaziunganisha kupunguza kero kwa wasomaji.

Kwa siku threads hata 5 za mada moja tu zinaanzishwa, ziunganisheni huko.
 
Wanahasiwa na nani? Kipindi gani na kwanini? Acha zako wewe. Tumekutambua
 
Back
Top Bottom