Rwetembula Hassan Jumah
Senior Member
- Jan 25, 2023
- 140
- 188
Nani kahasiwa na nani?Wanyama wanahasiwa Sana...
Hata binadamu pia ila me si shauri kabisa kwa binadamu maana hii hali inaweza ikakupelekea ukatamani uingiliwe maana wewe si unakuwa unataman ila huna uwezo wa kufanya hilo tendo.
Chunguzeni sana mashoga uenda hili Tatizo ndo linawakumba. Natoa taarifa.
Jibu swali, nani anawahasi hao vijana? Cases za kuhasiwa mbona hazipo wazi?elewa post. Ushasema babu zetu. Maana ya babu zetu sio ya sasa. Hata zamani babu zetu awakula haya mayai ya kizungu au kuku wanaotengenezwa na mwaga
Eleza kuhasiwa ni nini kisha unganisha na uhusiano wake kishoga.Nitetee ili unilipe au? Unajua maana ya kuhasiwa? Au umevamia mada
Kwahio wale wakati wa Lut nao walikula mayai na kuku wa mwanga?.elewa post. Ushasema babu zetu. Maana ya babu zetu sio ya sasa. Hata zamani babu zetu awakula haya mayai ya kizungu au kuku wanaotengenezwa na mwaga
Nyie ni wasambazaji wa hizi agenda, tushashtukia hilo.Ikikuuma chomoa. We wale wale