Hata mimi amenishangaza. Infact ni ujasiria mali mzuri sana hasa unapohifadhi kwa njia sahihi na salama.Nikajua haina faida kumbe faida ipo ila ni mata of time tu ndicho kilichokufanya kuona ukichaa wake | mkuu kaajiriwe tu entrepreneurship si sahihi kwako.
Faida yake ni ndogo sana tofauti na pale ambapo ungezungusha mzigo.Nikajua haina faida kumbe faida ipo ila ni mata of time tu ndicho kilichokufanya kuona ukichaa wake | mkuu kaajiriwe tu entrepreneurship si sahihi kwako.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nikajua haina faida kumbe faida ipo ila ni mata of time tu ndicho kilichokufanya kuona ukichaa wake | mkuu kaajiriwe tu entrepreneurship si sahihi kwako.
HIyo ndo cryptocurrency original pimbi wewe. inaonekana wewe ni mtu wa get rich quick kaibe.Kuna watu nimekuwa naona humu wanashauri watu wanunue mazao ya nafaka wakati wa mavuno wauze baadae ya bei kuwa nzuri.
Biashara yeyote Inakuwa nzuri pale inapokuwa na mzunguko mzuri wa pesa, yaani unanunua unauza hii ya kuhifadhi nafaka kutegemea soko kupanda ni kuzika mtaji wako.