Kuna watu nimekuwa naona humu wanashauri watu wanunue mazao ya nafaka wakati wa mavuno wauze baadae ya bei kuwa nzuri.
Biashara yeyote Inakuwa nzuri pale inapokuwa na mzunguko mzuri wa pesa, yaani unanunua unauza hii ya kuhifadhi nafaka kutegemea soko kupanda ni kuzika mtaji wako.