Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 602
- 969
Njoo PM nikupe dawa.ya Acid reflux, huwa usiku inatokeaga nacheua ambapo vinapanda hadi puani, kucheua huko huambatana na kiungulia kikali mnoo!
Kwa sasa nahisi kama kuna kitu kimekwama kooni hakitoki, kinakereketa mnooo, hali inayonifanya nikohoe kikohozi kikavu. Hali hii ilinifanya niende hospital mwanzoni nilipewa cough syrup pamoja na Ampiclox, nilimaliza dose bila mafanikio nikarudi tena nikapewa prednisoline, sephalexine, cough syrup na mebendazile bado sijapata nafuu
Je wapi nitapata matibabu sahihi!?
Au dawa please
Mkono Naunga HojaKUNYWA K-VANT UTANISHUKURU
Acid reflux inasababisha kikohozi pia. Sasa sidhani kama cough syrup inatibu kikohozi kinachosababishwa na acid reflux. Hapo mwone Daktari akupatie maelekezo ya namna ya kutibu hiyo reflux. Ni kawaida usiku reflux kuwa kali zaidi ukilala. Kikohozi chake huwa kinatulia ukiamka au kukaa wima kitandaniya Acid reflux, huwa usiku inatokeaga nacheua ambapo vinapanda hadi puani, kucheua huko huambatana na kiungulia kikali mnoo!
Kwa sasa nahisi kama kuna kitu kimekwama kooni hakitoki, kinakereketa mnooo, hali inayonifanya nikohoe kikohozi kikavu. Hali hii ilinifanya niende hospital mwanzoni nilipewa cough syrup pamoja na Ampiclox, nilimaliza dose bila mafanikio nikarudi tena nikapewa prednisoline, sephalexine, cough syrup na mebendazile bado sijapata nafuu
Je wapi nitapata matibabu sahihi!?
Au dawa please
Dawa zipo. Njoo PM nikuelekeze.ya Acid reflux, huwa usiku inatokeaga nacheua ambapo vinapanda hadi puani, kucheua huko huambatana na kiungulia kikali mnoo!
Kwa sasa nahisi kama kuna kitu kimekwama kooni hakitoki, kinakereketa mnooo, hali inayonifanya nikohoe kikohozi kikavu. Hali hii ilinifanya niende hospital mwanzoni nilipewa cough syrup pamoja na Ampiclox, nilimaliza dose bila mafanikio nikarudi tena nikapewa prednisoline, sephalexine, cough syrup na mebendazile bado sijapata nafuu
Je wapi nitapata matibabu sahihi!?
Au dawa please
Hili tatizo halina dawa?Tatizo ni acid imekuwa nyingi tumbani
Nilikuwa natatizo km lako, nilihudhuria sana kwa ma dk wa ENT..nikafanya mpk kipimo cha Endoscopy nilihisi ni dalili za kansa kumbe wala.
Badili mfumo wako wa chakula...punguza kula vyakula vinavyokusababishia kiungulia, wacha pilipili, punguza kula ngano hasa chapati. Pendelea kula matango na parachichi.
Mchama unaweza kula matunda tu..na ukasubiri ule usiku.
wahi kula chakula cha usiku na ukae zaidi ya masaa 2 ndo ukalale.
Ukihisi kiungulia kula tango, karanga au magnesium
Sidhani km kuna dawa zaidi ya kubadili ratiba ya msosi wako kwa siku.Hili tatizo halina dawa?
Thank youTabs Omeprazole 20mg bd for 4weeks
Zinauzwa bei gan hizo dawa mkuu?Tabs Omeprazole 20mg bd for 4weeks