Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 602
- 969
Nahisi nina shida ya Acid reflux, huwa usiku inatokeaga nacheua ambapo vinapanda hadi puani, kucheua huko huambatana na kiungulia kikali mnoo!
Kwa sasa nahisi kama kuna kitu kimekwama kooni hakitoki, kinakereketa mnooo, hali inayonifanya nikohoe kikohozi kikavu. Hali hii ilinifanya niende hospital mwanzoni nilipewa cough syrup pamoja na Ampiclox, nilimaliza dose bila mafanikio nikarudi tena nikapewa prednisoline, sephalexine, cough syrup na mebendazile bado sijapata nafuu
Je wapi nitapata matibabu sahihi!?
Au dawa please