Naxria abdalla
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 204
- 379
Habari zenu vipendhy naomba msaaada kidogo kuna mdogo wangu wa kiume anasema anahisi kama kuna kitu kifuani upande wa kushoto huwa anakihisi ila hakiumi ni vile anahisi km kuna kitu na sio muda wote ni baadhi ya muda hlf presha yake ipo juu kdg ni 134/90 naomba maelekezo ushauri ili nione naenda hospitali gani