Naxria abdalla
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 204
- 379
Mtafutie specialist wa moyo haraka akafanye vipimo vya uhakika! Waswahili hawachelewi kukwambia amerogwaHabari zenu vipendhy naomba msaaada kdg kuna mdogo wangu wa kiume anasema anahisi km kuna kitu kifuani upande wa kushoto huwa anakihisi ila hakiumi ni vile anahisi km kuna kitu na sio muda wote ni baadhi ya muda hlf presha yake ipo juu kdg ni 134/90 naomba maelekezo ushaur ili nione naenda hosptal gan
Sawa ahsanteMtafutie specialist was moyo haraka akafanye vipimo vya uhakika! Waswahili hawachelewi kukwambia amerogwa
Nipo znzFika hospital mapema na kama upo dar ongea tukupe maelekezo ya wapi utapata msaada kirahisi
Ohoooo sawa wacha tukarakishe hudumamoyo huo
Mm nipo Zanzibar pia naweza kukuelekeza kwa doctorNipo znz
Nenda Al Rahma hospital kilimani pale ukamuulize dokta SalumNipo znz
Ahsante sana kwa ushauri ubarikiwe sanaNi vyema kuwahi hospitali kwa ajili ya vipimo, naona wengi wameanza kufanya bare assumption za kuwa ni tatizo la moyo, hali hiyo imewahi kunitokea mimi pia,tena zaidi ya mara moja na baada ya muda hali inarudi kama kawaida, usitishike,usidharau.
Ok sawa ntafanya ivoNenda Al Rahma hospital kilimani pale ukamuulize dokta Salum
Sawa ntafanya vyote asante kwa ushauriPiga miguu yote usimpoteze dogo kizembe, uswahil upo na sayans IPO
Humu wengi ni wapumbavu wanaishi kwa shemej zao na wajuaj watakuponza ukiwasikiliza sans
Chakufanya nenda hospital fanya vipimo mkitoka huko hata kama tatzo ni moyo pia nenda na Kwa mganga mzur
Kama huna mganga mzur ntakusaidia
Kikubwa muende kote lasivo atapelekwa mafinga kuvuna mbao Kwenye mashamba ya wahindi
Oh sawa ntarudi na majibu hapa nikirudi hosptal ahsante kwa muda wakoInaweza kuwa acid reflux
Sawa ahsante ntaenda haraka sanaMkuu wahi haraka sana Hospitali,
Hiyo ni Pressure or squeezing,ni classic ya symptoms of angina,
hutokea pale muscle za moyo zinapokosa enough blood,ukichelewesha matibabu inaweza kusababisha heart attack.
Get well soon.
Tstizo ni presha hiyo.Habari zenu vipendhy naomba msaaada kidogo kuna mdogo wangu wa kiume anasema anahisi kama kuna kitu kifuani upande wa kushoto huwa anakihisi ila hakiumi ni vile anahisi km kuna kitu na sio muda wote ni baadhi ya muda hlf presha yake ipo juu kdg ni 134/90 naomba maelekezo ushauri ili nione naenda hospitali gani