Hiyo hali alikuwa nayo baba angu,kuna mdada huwa anaomba,akawa amekuja home,akawa anaomba na akamuombea baba,kwenye kuomba akawa anakohoa na kutema mate ,kuangalia ni damu damu,
Kesho yake baba akasema ile hali haisikii tena
Yan mpk leo hii haisikii,sasa sijajua tatizo lako ni sawa na la mshua wangu au lah