bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
Habar, rejea mada tajwa hapo juu
Ni siku ya pili nmekua nikihisi kama kohozi flan lipo kohon kila nkijatahid kujikoholesha lakin halitoki.
Naomba uelewa juu ya hili tatizo na jinsi ya kuliondoa.