le madame
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 476
- 264
Salaamu zenu wakuu,
Msaada kwa hili ninalopitia sasa, yaaani nahisi maumivu makali katika matiti kwa muda wa mwezi sasa, ukibonyeza katika nyama za kifuani, (sio kwenye chuchu).
Ukitembea yakitikisika tuu kosa.
Wadau, Mwenyezi kujua chanzo na namna ya kulitokomeza anijuze!
Natanguliza shukrani wakuu.