kuhisi vitu vikitembea

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,186
Reaction score
7,184
habari zenu wanajamvi

mkee wangu anahisi kama kuna vitu vinatembea kutoka chini ukeni kuelekea tumboni

hii inaweza kuwa ni nin? hebu toeni utalaam wenu kidgo
 
Atakua kala makande na haragwe huyo!

sio jukwaa la udaku hili..mkuu
kama huna la kusema piga kimya..leta masihara kwangu si kwa mke wangu😡
 
Nmeongea kwa experience yangu. Jana mke wangu alipata tatizo kama la mkeo, kumbe juzi alikua kala kande la haragwe mix nazi! Kashinda kitandani!
 
Nmeongea kwa experience yangu. Jana mke wangu alipata tatizo kama la mkeo, kumbe juzi alikua kala kande la haragwe mix nazi! Kashinda kitandani!

thot unaleta masihara..mkuu

pamoja sana then ila mm mke wangu now ni siku ya pili..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…