20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,186 Reaction score 7,184 Aug 2, 2014 #1 habari zenu wanajamvi mkee wangu anahisi kama kuna vitu vinatembea kutoka chini ukeni kuelekea tumboni hii inaweza kuwa ni nin? hebu toeni utalaam wenu kidgo
habari zenu wanajamvi mkee wangu anahisi kama kuna vitu vinatembea kutoka chini ukeni kuelekea tumboni hii inaweza kuwa ni nin? hebu toeni utalaam wenu kidgo
O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,393 Aug 2, 2014 #2 Atakua kala makande na haragwe huyo!
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,186 Reaction score 7,184 Aug 2, 2014 Thread starter #3 Amante said: Atakua kala makande na haragwe huyo! Click to expand... sio jukwaa la udaku hili..mkuu kama huna la kusema piga kimya..leta masihara kwangu si kwa mke wangu😡
Amante said: Atakua kala makande na haragwe huyo! Click to expand... sio jukwaa la udaku hili..mkuu kama huna la kusema piga kimya..leta masihara kwangu si kwa mke wangu😡
O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,393 Aug 2, 2014 #4 Nmeongea kwa experience yangu. Jana mke wangu alipata tatizo kama la mkeo, kumbe juzi alikua kala kande la haragwe mix nazi! Kashinda kitandani!
Nmeongea kwa experience yangu. Jana mke wangu alipata tatizo kama la mkeo, kumbe juzi alikua kala kande la haragwe mix nazi! Kashinda kitandani!
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,186 Reaction score 7,184 Aug 2, 2014 Thread starter #5 Amante said: Nmeongea kwa experience yangu. Jana mke wangu alipata tatizo kama la mkeo, kumbe juzi alikua kala kande la haragwe mix nazi! Kashinda kitandani! Click to expand... thot unaleta masihara..mkuu pamoja sana then ila mm mke wangu now ni siku ya pili..
Amante said: Nmeongea kwa experience yangu. Jana mke wangu alipata tatizo kama la mkeo, kumbe juzi alikua kala kande la haragwe mix nazi! Kashinda kitandani! Click to expand... thot unaleta masihara..mkuu pamoja sana then ila mm mke wangu now ni siku ya pili..