Kuhojiwa na mawakili

Kuhojiwa na mawakili

fem996

Member
Joined
Jun 1, 2022
Posts
39
Reaction score
51
Habari zenu ndugu humu ndani.Naomba ushauri.
Nina kesi tangu August 2023 hapa arusha.
Sasa kesi haikuwahi kufikishwa mahakamani ipo polisi mpaka leo.
Jumatatu niliitwa na askari anayehusika na kesi akaniambia natakiwa kwenda kuhojiwa na mawakili.
Leo mchana ndo natakiwa kwenda huko kuhojiwa.
Naombeni msaada wa mawazo maana mimi najua kesi ikitoka polisi ni mahakamani sasa iweje nikahojiwe na mawakili.
Natanguliza shukrani[emoji1666]

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
kama unaogopa unaweza kwenda na ndugu au kuwa na wakili wako kwa usalama
 
Habari zenu ndugu humu ndani.Naomba ushauri.
Nina kesi tangu August 2023 hapa arusha.
Sasa kesi haikuwahi kufikishwa mahakamani ipo polisi mpaka leo.
Jumatatu niliitwa na askari anayehusika na kesi akaniambia natakiwa kwenda kuhojiwa na mawakili.
Leo mchana ndo natakiwa kwenda huko kuhojiwa.
Naombeni msaada wa mawazo maana mimi najua kesi ikitoka polisi ni mahakamani sasa iweje nikahojiwe na mawakili.
Natanguliza shukrani[emoji1666]

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Wwe ni mtuhumiwa au Mlalamikaji kwenye hiyo kesi!?
 
KESI ni biashara bongo usisahau bahasha wao wenyewe watakupa muongozo jinsi ya kuchomoka.
Usiende mikono mitupu
 
Omba uthuru kuwa afya yako haipo Sawa uendelee kujua nn zaid kabla ya hatua hyo

Ila kikubwa hapo wanatak mlimalze
Huyo kama ni mshitakiwa na yuko nje kwa dhamana, basi ndiyo anaenda kushitakiwa na dhamana yeke automatically itakua imefutwa!!
 
Back
Top Bottom