aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 5,175 Reaction score 16,488 Jul 21, 2024 #41 Half american said: Itakuwa alimsikiliza zuchu vizuri Click to expand... Uzuri wake huwa anakuja hata bila mimi kumpa nauli. Kwahiyo ni kuku wangu mwenyewe hanipi shida. Maana huwa haji kwangu kwa ajili ya pesa.
Half american said: Itakuwa alimsikiliza zuchu vizuri Click to expand... Uzuri wake huwa anakuja hata bila mimi kumpa nauli. Kwahiyo ni kuku wangu mwenyewe hanipi shida. Maana huwa haji kwangu kwa ajili ya pesa.
Hope urassa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 4,230 Reaction score 10,650 Jul 21, 2024 #42 mg646 said: Mume wa mtu upendwe bure Click to expand... hakuna mapenzi ya kweli kwa mume au mke wa mtu
mg646 said: Mume wa mtu upendwe bure Click to expand... hakuna mapenzi ya kweli kwa mume au mke wa mtu
Subira the princess JF-Expert Member Joined Mar 3, 2018 Posts 3,474 Reaction score 3,744 Jul 21, 2024 #43 Michewen said: Ukitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'. Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe. #selfie_Idumu# Click to expand... Mmmmmmh
Michewen said: Ukitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'. Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe. #selfie_Idumu# Click to expand... Mmmmmmh
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Jul 22, 2024 Thread starter #44 UTT AMIS