M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Ili upewe hudumaKwanza kwanini uhonge...π€
Umeniwahi kuuliza? ππππKwanza kwanini uhonge...π€
Mia tisa inapendezaBei elekezi ya kuhonga mwisho Tsh ngapi? Maisha yamebana Sana aisee
Nyie ndio mnawapotosha wakina dada mpaka wanaamua kudanga iwe career. Hao wanaume wa kuonga milioni hawapatikani kirahisi rahisi tu. Kibongo bongo hata 5% ya wanaume wote haifikiTafuta hela uachane na stresi za kuwaza utahonga shilingi ngapi. Wewe ukiwa unapata stresi usiku huu mkubwa, mwenzio ashatumiwa ka-milioni ka matumizi, nikuulize ataambatana na wewe ?
Bora punyereKuhonga inategemea kipato chako.kama uahela kidogo utahonga kulingana na Hela hiyo.
Are you serious?Kwanza kwanini uhonge...π€