Habari zenu. Nimekumbwa na utata juu ya suala hili, siku hizi wakaka wengi kabla ya ndoa wanataka wahudumiwe kama kwamba tayari wameoa. Tendo la ndoa, Kufua, Kupika, Usafi wiki end na hata katikati ya wiki na mambo mengine kama hayo. Je hiyo ni sawa kwa mila na desturi zetu?
wengine wanafika mbali zaidi wanataka mtoto kwanza ndipo ndoa ije.
Sasa kweli huo ndio upendo? Naomba Mnieleweshe labda mie wa kizamani mno.

Mimi naona mara nyingi inakuwa 'nipe, nikupe'! Wakaka nao watalalama kwa kupigwa mizinga.
na ndo maana siku hzi hawaoi kama anapata huduma zote za ndoa ataoa akitafuta nini?wadada wote tungewakaushia hawa mabrazameni wangekuwa na adabu.ukikataa wewe mwenzio anahamia fasta kazi kweli kweli
hapo kwenye mtoto hapo mmmh!
Ila kufua na kupika hufanywa in the name of love!
kwani unaoa mtu wa kupika na kufua? kuna mashine siku hzSasa ntjuaje kuwa unaweza kukpika, kufua nk?
kwani unaoa mtu wa kupika na kufua? kuna mashine siku hz
<br />Mtoto muhimu sana, wengi wao siku hizi kuzaa taabu kwa sababu ya kuchopoa mimba. Ni muhimu kujaribu uzima, Dunia imekwisha hii ndugu yangu.
Habari zenu. Nimekumbwa na utata juu ya suala hili, siku hizi wakaka wengi kabla ya ndoa wanataka wahudumiwe kama kwamba tayari wameoa. Tendo la ndoa, Kufua, Kupika, Usafi wiki end na hata katikati ya wiki na mambo mengine kama hayo. Je hiyo ni sawa kwa mila na desturi zetu?
wengine wanafika mbali zaidi wanataka mtoto kwanza ndipo ndoa ije.
Sasa kweli huo ndio upendo? Naomba Mnieleweshe labda mie wa kizamani mno.
<br />
<br />
na huvutia zaidi mwanaume ikiwa huzai/matatizo ya sperm cjui Mwanamke akikumwaga bse huwezi kumimbisha inakuaje
tafuta housegirl au houseboy?The tehe tehe beeebiiii. Na kupika je. How kama siafford cost ya iyo mashine? Na huu umeme wa ngeleja?
kuna kitu mnatoa hata?unakuta mdada ana kazi yake ila anaishi tu na mwanaume bila ndoa matumizi anaafford naona ni maadili tu kushneiLabda tungewauliza na upande wa pili nao kwa nini wanapenda kuhudumiwa kama wanawake walioolewa wakati bado? Kuishi nyumba moja na mwanaume, kupewa pocket money, kumfuatilia jamaa kujua yuko wapi, anafanya nini wakati gani na nani, amerudi saa ngapi nyumbani, kwenda outing etc. Kwa ufupi ni biashara ya nipe ni kupe tu ndiyo inayoendelea maadili kwishney.
kwani unaoa mtu wa kupika na kufua? kuna mashine siku hz
kwani unaoa mtu wa kupika na kufua? kuna mashine siku hz
tafuta housegirl au houseboy?