Huduma ya kuzoa taka kutoka ktk maduka haya. Nayo pia inahitajika sana. Unafanya biashara ya kupeleka mifuko ya nailoni/karatasi (kama mchangiaji wa hapo juu) halafu unazoa takataka za madukaniWakuu salama!
Najaribu kutafakari wazo la Biashara ambayo nitakuwa natoa huduma kwa wenye maduka ya reja reja.
Naomba mwenye uzoefu anisaidie wazo au kudadavua ni huduma gani hapo ulipo ambayo wenye maduka wanaihitaji sana lakini yenye faida inayohitajika mara kwa mara.
Naomba kuwakilisha, karibuni kwa ushauri zaidi hata ya wazo hili.
Ahsante.
Sambaza mifuko ya Rambo hii Mkuu kuna jamaa Yangu mmoja now anazungusha 5m na alianza na laki na pia amefungua duka kwa ajili ya shughuri iyo iyo ya kusambaza mifuko ususa kwa wauza chips jamaa asubuhi anasambaza mifuko mbaka katoni iishe na kuna ujanja anafanya ivo anapata pesa sana na sasa anafanya mengi sana yani ni ayo tu mkuu
Wakuu salama!