Kuhudumia wenye maduka

Kuhudumia wenye maduka

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,093
Reaction score
1,899
Wakuu salama!

Najaribu kutafakari wazo la Biashara ambayo nitakuwa natoa huduma kwa wenye maduka ya reja reja.

Naomba mwenye uzoefu anisaidie wazo au kudadavua ni huduma gani hapo ulipo ambayo wenye maduka wanaihitaji sana lakini yenye faida inayohitajika mara kwa mara.

Naomba kuwakilisha, karibuni kwa ushauri zaidi hata ya wazo hili.

Ahsante.
 
Sambaza mifuko ya Rambo hii Mkuu kuna jamaa Yangu mmoja now anazungusha 5m na alianza na laki na pia amefungua duka kwa ajili ya shughuri iyo iyo ya kusambaza mifuko ususa kwa wauza chips jamaa asubuhi anasambaza mifuko mbaka katoni iishe na kuna ujanja anafanya ivo anapata pesa sana na sasa anafanya mengi sana yani ni ayo tu mkuu
 
Huduma ya kuzoa taka kutoka ktk maduka haya. Nayo pia inahitajika sana. Unafanya biashara ya kupeleka mifuko ya nailoni/karatasi (kama mchangiaji wa hapo juu) halafu unazoa takataka za madukani
 
Ahsante sana mkuu wazo zuri
 
Huduma ya kuzoa taka kutoka ktk maduka haya. Nayo pia inahitajika sana. Unafanya biashara ya kupeleka mifuko ya nailoni/karatasi (kama mchangiaji wa hapo juu) halafu unazoa takataka za madukani

Safi sana mkuu
 
Kama upo dar au ingia alibaba tafuta pipi kama hizi
Promotional-plastic-cartoon-sports-car-toys-candy (1).jpg

halafu unakuja nazo mikoani kuuza jumla zinalipa na watu wananunua sana
tofauti na biashara ya rambo kwa sasa ushindani ni mkubwa kila mtu anazungusha madukani katoni unaweza usimalize kwa siku

Wakuu salama!

Najaribu kutafakari wazo la Biashara ambayo nitakuwa natoa huduma kwa wenye maduka ya reja reja.

Naomba mwenye uzoefu anisaidie wazo au kudadavua ni huduma gani hapo ulipo ambayo wenye maduka wanaihitaji sana lakini yenye faida inayohitajika mara kwa mara.

Naomba kuwakilisha, karibuni kwa ushauri zaidi hata ya wazo hili.

Ahsante.
Sambaza mifuko ya Rambo hii Mkuu kuna jamaa Yangu mmoja now anazungusha 5m na alianza na laki na pia amefungua duka kwa ajili ya shughuri iyo iyo ya kusambaza mifuko ususa kwa wauza chips jamaa asubuhi anasambaza mifuko mbaka katoni iishe na kuna ujanja anafanya ivo anapata pesa sana na sasa anafanya mengi sana yani ni ayo tu mkuu
 
Bidhaa ni nyingi sana, kama una pesa ya kutosha nunua bajaji au pikipiki ya kawaida utumie kusambazia, hakikisha unapata bidhaa zako kwa bei rahisi ili upate faida.
 
Msaada wana jamvi
Naomba kujuzwa juu ya masharti ,sheriA Na taratibu za kufungua cosmetics shop pamoja na mtaji minimum wa kuanza nao
Asalaam nawasilisha
 
Back
Top Bottom